Ephesians 3:4-5

4 aKwa kusoma haya, basi mtaweza kuelewa ufahamu wangu katika siri ya Al-Masihi. 5 bSiri hii haikudhihirishwa kwa wanadamu katika vizazi vingine kama vile sasa ilivyodhihirishwa na Roho kwa mitume na manabii watakatifu wa Mungu.
Copyright information for SwhKC